kesho udsm mgomo kwenda mbele

Maamandamamo na migomo haitaisha TZ. bado wafanyakazi wanakuja. Tusubiri Dowans walipwe. Nchi itawaka moto.

Na mimi naanzisha mgomo mwingine. hizi foleni zinakost sana, jei kei na wenzake nao wakae foleni ili waone adha halisi ya foleni siyo kuimba ngonjera kwenye majukwaa bila kuboresha miundo mbinu ili foleni ziende. nchi hii bwana, kila kitu uchuro na kero tu.
 
Udsm fanyeni kazi make hii nchi inaweza kuuzwa na tusiludishiwe change kubuka wakombozi hawapendwi ila msikate tamaa ndg zangu.
 
Naona uyu jamaa ajui kuongoza make bora enzi za mwl. Wameisha fika watu kama 10 ambao wameisha kufa (udom,arusha,mbea amekufa1 leo) ebu tusubiri udsm watakufa wangapi make uhu ni udekiteita aswa.
 
Naona uyu jamaa ajui kuongoza make bora enzi za mwl. Wameisha fika watu kama 10 ambao wameisha kufa (udom,arusha,mbea amekufa1 leo) ebu tusubiri udsm watakufa wangapi make uhu ni udekiteita aswa.

Ndugu Ilonza, ingependeza kama angalau ungeandika kama hapa chini:

Naona huyu jamaa hajui kuongoza, maana yake bora enzi za mwalimu. Wameisha fika watu kama 10 ambao wameisha kufa [UDOM, Arusha, Mbeya (amekufa 1 leo)]. Hebu tusubiri UDSM watakufa wangapi, maana yake huu ni udikiteta hasa.
 
tahadhari kwa police. msiwaue na hawa. kuna mtoto wangu pale na yeye ndo atakua mstari wa mbele. akifa tu na we jirani yangu nakumaliza. nimetoka jana rwanda nimesheheni mzigo wa kutosha tu.

ahahaha unastahili thanks mpwa, ofkozi tunakoelekea bongo hili ndo litakuwa la maana, maake wanauwa watu wetu utasikia uchunguzi unaendelea miaka 30 then kimya, saivi ni jino kwa jino, mi mwanangu akifa kunako maandamano nitajua nani na mimi wa kummaliza ambaye atarelate tuu na aliyeua..wanadhani sie ndo hatusikii uchungu ndugu zetu kufa..wangekufa watoto wao uone....nitakupm unipunguzie kamzigo ..
 

tuondolee mawazo yako ya kikoloni, badala ya kufikilia kuboresha kwako unawaza marekani na uingereza na sijui wapi..wee mwehu kwann usizaliwe huko marekani?? tutapigana hapa hapa na kuiboresha udsm na vyu vingine na mwisho wa siku tutasoma hapa hapa wee na mawazo yako ya kikoloni kafie mbele..kabebe maboksi uk..mwehu mzigo wee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…