Kesho utakuwa wapi ukila nyama Choma

Kesho utakuwa wapi ukila nyama Choma

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kesho ni jumamosi kwa wale wakazi wa dodoma wanajua kesho ni siku ya mnada yaani ni siku ya kwenda kula nyama,

Kuna mnada wa Msalato, N'kome chipogoro,na N.K.

ila mnada maarufu sana kwa nyama ni mnada wa pale Msalato watu wengi wenye heshima zao wakiwemo ,wabunge,wafanyabiashara wakubwa,mawaziri N.K. kesho utakutana nao pale mnadani wakila nyama ,

Je wewe mkazi wa dodoma na mkoa mwingine kesho utakuwa wapi ukila nyama Chomaaaaa?

Kwa Mrombooooooooooooooooooooo.

CC Zero IQ
 
Wa akina choka mbaya ni upi kati ya hiyo?
 
me ntakuwa geto na demu wangu nkila 'nyama choma' yake
Mi nikishatoka kula nyama ya mnadani ndio nitaamia kula nyama ile isiyoisha utamu pale maghetoni kwangu
 
Kesho ni jumamosi kwa wale wakazi wa dodoma wanajua kesho ni siku ya mnada yaani ni siku ya kwenda kula nyama,

Kuna mnada wa Msalato, N'kome chipogoro,na N.K.

ila mnada maarufu sana kwa nyama ni mnada wa pale Msalato watu wengi wenye heshima zao wakiwemo ,wabunge,wafanyabiashara wakubwa,mawaziri N.K. kesho utakutana nao pale mnadani wakila nyama ,

Je wewe mkazi wa dodoma na mkoa mwingine kesho utakuwa wapi ukila nyama Chomaaaaa?

Kwa Mrombooooooooooooooooooooo.

CC Zero IQ
Kumbe wewe fala ni first year wa udom..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mkuu otea tena huwezi amini niko dodoma na sijawahi kufika UDOM zaidi ya kuishia pale Makulu kumfata mtoto mkali wa UDOM mkuu.
 
Back
Top Bottom