Wa akina choka mbaya ni upi kati ya hiyo?Kesho ni jumamosi kwa wale wakazi wa dodoma wanajua kesho ni siku ya mnada yaani ni siku ya kwenda kula nyama,
Kuna mnada wa Msalato, N'kome chipogoro,na N.K.
ila mnada maarufu sana kwa nyama ni mnada wa pale Msalato watu wengi wenye heshima zao wakiwemo ,wabunge,wafanyabiashara wakubwa,mawaziri N.K. kesho utakutana nao pale mnadani wakila nyama ,
Je wewe mkazi wa dodoma na mkoa mwingine kesho utakuwa wapi ukila nyama Chomaaaaa?
Kwa Mrombooooooooooooooooooooo.
CC Zero IQ
Kumbe wewe fala ni first year wa udom..[emoji23][emoji23][emoji23]Kesho ni jumamosi kwa wale wakazi wa dodoma wanajua kesho ni siku ya mnada yaani ni siku ya kwenda kula nyama,
Kuna mnada wa Msalato, N'kome chipogoro,na N.K.
ila mnada maarufu sana kwa nyama ni mnada wa pale Msalato watu wengi wenye heshima zao wakiwemo ,wabunge,wafanyabiashara wakubwa,mawaziri N.K. kesho utakutana nao pale mnadani wakila nyama ,
Je wewe mkazi wa dodoma na mkoa mwingine kesho utakuwa wapi ukila nyama Chomaaaaa?
Kwa Mrombooooooooooooooooooooo.
CC Zero IQ
Dah, waweza kuchomewa ngozi kwa buku. Au vibudu?Nenda N'kome mkuu kule nyama hadi buku utachomewa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kumbe wewe fala ni first year wa udom..[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah, waweza kuchomewa ngozi kwa buku. Au vibudu?
Wingi wa kibuduSibonike, vibudu ni kitu gani?
Wingi wa kibudu