kesi hii inahitaji wakili au ajitete mwenyewe

kesi hii inahitaji wakili au ajitete mwenyewe

mkibunga

Senior Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
196
Reaction score
25
katika pita pita yangu nikutana na kesi moja inayomkabili mwl mmoja
maelezo ya awali.
1.shuleni kwao hawajalipwa mishara miezi mitatu sasa
2.yeye ni mwl tu si mhasibu wa shule
sasa - mwl wa watu akachukua ada za wanafunzi akatumia
- akatumwa kwenda kulipia ada za mitihani k4 akatia kwapani lakini akabuni mbinu akatafuta karatasi ya kuwekea pesa benki ya zamani akafanya ujanja wake akaipiga photo copy akaiweka kiasi kwamba ndo amelipia pesa akawasilisha kwa mkuu wake ikiwa photo copy sio original mkuu akipokea akaifile na kuamini bila kudai original
kubwa zaidi pesa kwenye vitabu vya malipo hapo shuleni hajasaini yeye alipewa kwenye korido peleka benki,
sasa amekamatwa akidaiwa alipe pesa kwani baraza wanaidai shule na shule imepeleka polisi -mahakamani sasa je nani mshindi? shule inadai kuwa aligushi ila pay in slip jamani hapo ni vipi. nasikia mwl anatafuta wakili nikaonelea niwape dill kama unaona unaiweza kamtetee
naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom