Kesi imefunguliwa Mahakamani, Je ni halali viongozi waliopo kuitisha kikao cha mtaa?

pembe

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
2,150
Reaction score
717
Wana JF,

Tusaidiane katika hili. Katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika mwezi uliopita wenzetu walishinda kwa kuchakachua kwani mambo mengi yalikiukwa.

Tumefungua kesi mahakamani na nakala yakuitwa kortini wameshapokea. Kesi itatajwa tarehe 08.02.2015.

Sasa wameitisha kikao cha mtaa jumapili 01.01.205. Je hii ni sahihi? Twende polisi kutoa taarifa ya kupinga hiki kikao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…