chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Wale wachimbaji wa madini watakuwa wanafahamu unavozidi kuchimba kitaalam kila ukusanyaji wa viroba ndivo unavozidi kuibua madini ya aina mbali mbali.
Kwenye uchimbaji mnapozidi kuchimba kila awamu lazima kucheki chabo ya udongo (hii ni njia kienyeji) ila kampuni kubwa kupima PPM kujua viwango vya madini ijalishi ni madini gani.
Tokea kuanza kwa kesi ni sawa na uchimbaji ulivo.
Hii kesi tokea kuanza kwake hata wakitaka ifike 2025 ,maana si wageni kusikia kesi zilizodumu mda mrefu mfano wa rugemalila kesi yake kuchukua miaka 4 na miezi 3.
Kesi inayo mkabili mweshimiwa mbowe umeshika nafasi kubwa sasa ,kwa kipindi kilichopita na sasa na kijacho bado chama tawala kikizidi kuhofia CDM au ujumla wa demkrasia na katiba mpya.
Muamko wa watu na uwelewa wa watu umekuwa mkubwa.
Hii kesi kwa sasa inaweza kuonekana kwa wakati huu au tuliopo nchini kuona ni kitu cha kawaida ila mataifa mengine tumefanya kuyashangaza sana kulingana na kesi inavoendelea.
Kila kukicha muendelezo wa kesi na ufananisha na viroba vya udongo kila hatua mnapo zidi kuchimba step kwa step kutafuta wapi kutakuwa na udongo ulio na dhahabu ya kutosha.
Tumeweza kupata vitu vingi ambavyo watu wamezidi kufungua akili zao kama
Na kila siku vinavyoendelea hata ikifika 2025.

- Muongozo wa PGO(polisi general order)
- Hali ya kisiasa
- Uendeshaji wa mahakama ulivyo
- Mifumo ya kipolisi