Kesi kutupiliwa mbali siyo hukumu bali ni hali ya Mashtaka kukosa hadhi ya kisheria

Kesi kutupiliwa mbali siyo hukumu bali ni hali ya Mashtaka kukosa hadhi ya kisheria

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tunakumbushana tu,

Kwahiyo Kesi iliyofunguliwa na akina Halima Mdee na wenzake imekosa "hadhi" ya kisheria.

Kimsingi Halima Mdee na wenzake wanakubali kuwa Wamevuliwa uanachama LAKINI isivyo halali.

Wanachopigania ni kurejeshewa uanachama wao kama yule Baraka Shamte wa CCM kule Zanzibar.

Mungu ni mwema wakati wote.
 
Back
Top Bottom