Kesi mbili zimefunguliwa kuupinga ushindi wa Uhuru Kenyatta kwenye uchaguzi wa marudio.

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
KENYA: Kesi mbili zimefunguliwa kuupinga ushindi wa Uhuru Kenyatta kwenye uchaguzi wa marudio.

Kesi moja imefunguliwa na muungano wa vikundi vya kutetea haki za raia wa Kura Yangu Sauti Yangu na nyingine imefunguliwa na mbunge mstaafu Harun Mwau

Waliopinga wanadai uchaguzi huo ulikiuka misingi ya kikatiba kwa kuwa wagombea hawakupitishwa upya na vyama vyao

Pia tume kuwaweka wagombea siku chache kabla ya uchaguzi kufanyika ilikuwa ni makosa kwa kuwa hawakupata muda wa kutoshakufanya kampeni

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…