Kesi na afisa elimu

makoke21

Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
20
Reaction score
5
Jamani naomba msaada nimepeleka mashitaka yangu kwa mkurugenzi juu ya uonevu na manyanyaso lakn badala yake nikahamishwa kituo cha kazi. Mkurugenzi amebadilishwa ila na huyu mwingine nimempelekea barua ya nini manyanyaso ya sehemu ya kazi bado hajanijibu mwezi sasa.what next step should i opt?
 
Piga kazi ndugu acha kugombana gombana na wabosi wako mzee ,watakuumiza
 
Endelea kufuatilia majibu ya barua yako ambayo ndio itakuwa muongozo wa hatua inayofuata kama kutakuwa na ulazima
 
Pole sana nenda Ngazi za juu mfano kwa katibu tawala huwa wako very neutral
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…