zeebaba Senior Member Joined Apr 17, 2018 Posts 180 Reaction score 211 Jun 3, 2018 #181 Mungu ni mwema sana, naamini hii kesi imekula pesa mingi sana maana kuchukua wanasheria wazuri, huu ni ushindi kwa wana JF wote
Mungu ni mwema sana, naamini hii kesi imekula pesa mingi sana maana kuchukua wanasheria wazuri, huu ni ushindi kwa wana JF wote
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Jun 3, 2018 #182 zeebaba said: Mungu ni mwema sana, naamini hii kesi imekula pesa mingi sana maana kuchukua wanasheria wazuri, huu ni ushindi kwa wana JF wote Click to expand... Huu ni ushaidi kwamba uhuru wa wananchi kujieleza siku zote ni chukizo kwa watawala wenye nia ya kuficha uovu wao!
zeebaba said: Mungu ni mwema sana, naamini hii kesi imekula pesa mingi sana maana kuchukua wanasheria wazuri, huu ni ushindi kwa wana JF wote Click to expand... Huu ni ushaidi kwamba uhuru wa wananchi kujieleza siku zote ni chukizo kwa watawala wenye nia ya kuficha uovu wao!
N Ndoano Senior Member Joined Aug 9, 2011 Posts 192 Reaction score 32 Jun 3, 2018 #183 Hongereni sana
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,209 Jun 3, 2018 #184 MANI said: Mungu ni mwema Click to expand... mkuu hembu fanya uniombee na mm aisee maana na mm namtanange hapo hapo kisutu ..hii mitandao kwa kweli itatuua sana.
MANI said: Mungu ni mwema Click to expand... mkuu hembu fanya uniombee na mm aisee maana na mm namtanange hapo hapo kisutu ..hii mitandao kwa kweli itatuua sana.
tpaul JF-Expert Member Joined Feb 3, 2008 Posts 24,225 Reaction score 22,632 Jun 8, 2018 #185 Mishetani na mifisi imeumbuka hiyoooooooo!!!!!!!!!!
soine JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 2,113 Reaction score 2,329 Jun 8, 2018 #186 Haya nayo yatapita tu.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Nov 3, 2021 #187 JF wanastahili heshima zote katika kipengele cha kulinda wateja wao. Cognitivist said: Asante sana mahakama, jf is there to stay big up mac and colleagues Click to expand...
JF wanastahili heshima zote katika kipengele cha kulinda wateja wao. Cognitivist said: Asante sana mahakama, jf is there to stay big up mac and colleagues Click to expand...