Mtetezi_Paul_Kisabo
New Member
- Jan 3, 2019
- 4
- 1
Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya DSM imeahirisha kesi No. 31 ya mwaka 2018 ,Zitto Kabwe, Salim Bimani na Joran Bashange dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali hadi sa nane leo 04.01.2019 ambapo itatoa ruling. Wakili wa serikali aliomba kuongezewa muda wa siku 21 kinyume na kanuni (BRADEA RULES 2014, ambazo zinasema muda wa siku 14 tu unaweza kuongezwa ili kuwasilisha utetezi wao lakini wakili upande wa petitioners waliomba wapewe siku chache zaidi sababu muswada utawasilishwa bungeni tar 15 Jan 2019 hivyo ili kuzuia muswada kupelekwa bungeni mahakama imeombwa kutoa muda mchache zaidi, na endapo Siku 14 zitatolewa basi mahakama imeombwa kutoa zuio kwa mwanasheria mkuu wa serikali kupeleka muswada huo bungeni sababu serikali ndiyo inayomiliki muswada, kwa hoja hizi na nyingine zilizotolewa mahakamani ndipo mahakama kuu imesema sa nane kamili itatoa maamuzi.
[emoji2398] Paul Kisabo
04.01.2019
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2398] Paul Kisabo
04.01.2019
Sent using Jamii Forums mobile app