Kesi wanachuo-udsm kuunguruma kesho

Kesi wanachuo-udsm kuunguruma kesho

Mbusule

Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
87
Reaction score
83
Kesi inayowakabiri wanafunzi watatu Christopher Mbusule, Wilfred Bocasa na Benny Solo itasikiliywa tena kesho kwenye mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya hakimu Walyarwanda Lema,Mwendesha mashitaka-Kweka na wakili mahiri Prof.Abdallah Safari. Kesi hii inakuja kufuatia maandamano ya kudai mwaka wa kwanza hasa wanaotoka familia duni kupewa mkopo, mapema mwezi wa kwanza mwaka jana...
 
Mbusule upo njiapanda ya kwenda segerea,we cheza na magamba tu,solidality forever but not for everything.
 
All the best Mungu awatangulie wapiganaji wa familia maskini. Pamoja saaaaaaaaaannnnnaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom