Kesi ya Agnes Doris Liundi - Nini hasa kilitokea?

Nakumbuka alioa tena mwanamke mwingine wa Kizimbabwe, Liundi aliitwa katili wa mapenzi.
 
Nakumbuka alioa tena mwanamke mwingine wa Kizimbabwe, Liundi aliitwa katili wa mapenzi.
na watoto wake niliokuwa nawajua hakuwa anawajali kabisa kutokana na walivyosema, sijui Mungu ndo anahukumu wote tutaonja kifo
 
Nataka Kumuongelea Taji. Naamini mpaka ukubwa wake huu, anafahamu ndani nje ya suala hili. Pongezi kwake kwani hajaruhusu suala hili liwe kizingiti katika maisha yake, the way I see it! Ni ngumu, chungu and you do not wish for that! Pole Taji.

Mimi leo ndiyo naona thread hii. Miaka kama mitano iliyopita niliwahi kumsoma Taji Liundi kwenye gazeti moja akieleza kidogo ilivyotokea.

Yeye anasema walipewa soda na kilichomuokoa Taji ni kwamba Taji sik hiyo alikuwa anacheza na wenzake. Alipoitwa kuja kunywa soda akaona soda itampotezea muda kwani anaweza kunyimwa namba na wenzake atakaokuta wanacheza.

Hivyo akaona dawa ni kujifanya ameimaliza na kuimwaga nyingi pembeni bila mama yake kujua.

Lakini Taji alieleza kwamba hata hiyo kidogo aliyoonja alipoenda kucheza alizimia huko na alipozinduka akajikuta yuko Hospitali.

Mnaosema Taji sijui afanye nini. Yeye mwenyewe nimimsoma akisema kwamba iko siku atamuuliza mama yake kwa nini alitaka kuwaua!
 

na amefariki
 
Very touching...RIP Mama Liundi,Mwenyezi Mungu akupunguzie adhabu akupe pumziko lenye heri,inasikitisha sana.
 
Huyo mama amefariki juzi, na jumanne wanamzika.


Unaweza fuatilia updates khtoka kwenye akaunti ya insta ya tajiliundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…