Kesi ya Agnes Doris Liundi - Nini hasa kilitokea?

MUNGU wangu...inasikitisha sana ndoa au mahusiano ambayo yanajikuta yakilazimika kugeuka sura na kuzaa mauti ktk familia, nilipata kusimliwa pia kisa kama hiki kutokea ktk mojawapo ya kambi za jeshi enzi za vita kati ya tanzania na uganda 1977/78. Kwa vile nilikuwa mdogo sikudadisi mkasa ule upande wa kisheria ilikuwa vipi ingawa mama na watoto walifariki dunia kwa sumu.
 
Kusema kweli najisikia vibaya kusoma hii story, hata huyo mama aliyewabeba watoto kuwapeleka watoto muhimbili na wakamfia mkononi namjua,sipendi kukumbuka kabisa.
daaah poleni aisee huyo mama kaolewa tena@bishanga?
ndo mama yake taji liundi?
 
Kusema kweli najisikia vibaya kusoma hii story, hata huyo mama aliyewabeba watoto kuwapeleka watoto muhimbili na wakamfia mkononi namjua,sipendi kukumbuka kabisa.

Inasikitisha. Nimesoma na Taji shule moja (Nikiwa High School yeye akiwa O-Level) na kwa wakati fulani nilifanya kazi na Mamake, hii story imeniharibia siku kabisa. Yapo mambo maishani hayapaswi kukumbukwa, hili ni mojawapo.
 
Thanks Mtambuzi!kesi hii ni moja ya kesi zilizowahi kutikisa jiji la Dar,kamakesi ilivyofuata kwenye miaka ya 80 mwanzoni kesi iliyomuhusu Dr huyu huyu kwenye kesi hii.Jambo kubwa hapa,kesi zote zilihusisha mambo ya mapenzi,tena kwa vijana wasomi wa kipindi hicho!na zote zilipelekea mauaji ya kutisha!!!Jamo moja kubwa la kujifunza hapa kwetu sote,pamoja na madhaifu yetu kama binadamu,hakuna jambo linaloweza kuumiza nafsi ya mwenzio kama usaliti wa mapenzi.Na basi tunapoamua kuingia katika ndoa ni lazima uamuzi huo uwe umefanyika kwa dhati!!Leo mzee Liundi pamoja na heshima yake katika jamii nadhani ni jambo linalomuumiza mpaka siku mauti yatakampomkuta!!!TUPENDANE KWA DHATI!!!!NDOA SIO MAIGIZO AU MAKARATASI YA MAKANISANI,MSIKITINI AU KWA MKUU WA WILAYA!!
 
Pole sana Taji, nafikiri unapata faraja kuwa wazazi wote bado wapo hai lakini kama mama yako naye angekufa nafikiri usinge fika hapo alipo sasa.
 
Mimi nimeipenda mada hii Mtambuzi. Kuna mengi ya kujifunza. Ndoa zina mambo mengi jamani, ni vizuri usibaki na makwazo rohoni mwako, angalau ukitafuta ushauri kwa wengine unaweza kuepuka kuharibikiwa akili na kufanya makosa kama haya.
 
Doris alikuwa na state of mind which would be subjected to defence of diminishing responsibility. This defence is given when an accused mind was 'impaired' at the time of committing a crime. However it was not in our laws at the time. The judge could not read it in our laws or at invoke it as a new law
 
Sometimes couples in a marriage turn out to be silent killers! The man was silently killing even though she is alive today. Nadhani mkiona mmeshindwana lakini hamtaki divorce mnaweza kuseparate. Hapa you give each other time to recollect and rethink of him or herself
 
inasikitisha! am just trying to imagine if TL is a member here and bumps into this post, am sure he has tried to move on, do we need to discuss this really?,just saying
 
Kwanza wali commute to life sentence,kisha Mwalimu akamuachia after seven years,she is alive and well,yuko hapa dar maeneo ya keko.
Kumbe Bishanga uko Dar? Aisee hebu tutafutane tuijadili hii kesi asee. Kipindi hiki JF inaenda likizo ni muda muafaka wa kujadili mambo LIVE. Ahsante kwa kunielewa.

ODM, Boko Dsm.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umetoa darasa tosha kabisa tuwe makini kwenye family zetu; kwanza tujifunze kumjua mwenzi wako na back ground yake!! Kila tunapotoa tamko tuwe tunalipima tuache mfumo dume wa vitisho tutapata hasara kwenye miji yetu, kweli hiyo inatisha!!!!
 
Dah! Kwa hiyo mtoto aliyenusurika ni Taji?

Kanga sijakupata vizuri hapa, inamaana mama taji hakunyongwa tena?

Asante Mtambuzi kwa story hizi, zinasikitisha but zinamafundisho sana hasa kwa zama hizi tunazoishi

Pole sana Taji, nafikiri unapata faraja kuwa wazazi wote bado wapo hai lakini kama mama yako naye angekufa nafikiri usinge fika hapo alipo sasa.
 
Wapi Boko-haram!

Hata mimi niko dar, nitakutafuta tuijadili

Kumbe Bishanga uko Dar? Aisee hebu tutafutane tuijadili hii kesi asee. Kipindi hiki JF inaenda likizo ni muda muafaka wa kujadili mambo LIVE. Ahsante kwa kunielewa.

ODM, Boko Dsm.
 
Last edited by a moderator:
I like this, ni idea nzuri kwakweli ili kuepusha vinavyoweza kuepukika

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…