Kesi ya Agnes Doris Liundi - Nini hasa kilitokea?

case hii nilipoisoma kipindi niko chuo ilinifunza jambo zito saana tofauti na lengo la lecturer wangu . nilijifunza kwamba ubabe wetu wanaume unaweza ukatufanya ukakosa amani maisha yako yote do u think Baba Taji sasa hivi ana amani tena?? Alijua vizuri historia ya mkewe alipomwambia aondoke na wanawe alitka waende wapi?? pia nilijifunza jinsi yakumkaripia mwanamke kwani wengi wanamaamuzi ya haraka sana. coz mama huyo alikuwa mwalimu angeamua kukomaa na watoto wake kwakwenda kuanza nao maisha angeweza sana lakini ndo hivyo maamuzi ya haraka yakaicost familia..Once again pole saana Taji liundi and always remember God loves u so much.
 
Tujifunze jamani - unapofika mwisho wa kufikiri kwako, ukafika maximum ya kuumia kwako - badala ya kutafuta solution mwenyewe - ambayo huyo mama aliona solution NI SUMU kwake yeye na wanae - hebu tujaribu kumwomba aliyetuumba yaani MUNGU .... Mungu ana solution bora kwa ajili yetu - faraja ya mioyo yetu inapougua .... whether mwanamke au mwanaume - kijana au mzee..........otherwise MAISHA YANA MAMBO MENGI

SO SAD IT ENDED IN TAKING THE LIVES OF INNOCENT BABIES. 😛ray:
 
Thanx Mtambuzi kwa kunikumbusha kesi hii ilikuwa inasikitisha sana, kama sikosei nafikiri mama huyu alipewa msamaha na Rais mstaafu Ben W. Mkapa, though I think even if she lives her life is a living hell, kitendo alichofanya lazima kim haunt 4 lyf.
 
Thanx Mtambuzi kwa kunikumbusha kesi hii ilikuwa inasikitisha sana, kama sikosei nafikiri mama huyu alipewa msamaha na Rais mstaafu Ben W. Mkapa, though I think even if she lives her life is a living hell, kitendo alichofanya lazima kim haunt 4 lyf.

yeye alijua atakufa. mia
 

Mtambuzi asante ila habari inafaa kusomwa siku za weekend lakini kwa siku kama ya leo boss ataishia kukujazia kama alivyojaziwa dada yetu lara1.
 
Naomba kueleza machache yanayokosekana hapa. Mama huyu alikuwa na watoto watano au sita kutokana na maelezo ya marehemu Rose first born wao, wakubwa watatu yaani Taji, Rose na dada mwingine na mama walipona maana sumu haikuwaadhiri sana, wawili wadogo walifariki. Huyu mama alifungwa ila alikuja kutoka kwa msamaha wa Raisi na kipindi yupo jela mzee huyu hakuwa msaada kabisa kwa watoto hawa watatu. Mama alitoka na alikuja ungana na kuwalea hawa watoto watatu ila baadae wamefariki wakiwa wakubwa amebaki Taji pekee. Ni kisa cha kusikitisha ila mwanae alisema walimwelewa mama yao kuwa alichanganyikiwa kuwaza kulea watoto wote hao pekee. Taji Mungu anamtia nguvu huyu mzee wa kumwombea atubu akiwa hapa duniani alikosea sana.
 

HAYO maelezo siyo kweli Kabisa, alikuwa na watoto wane Taji, Lorna, Pili na Iwene. Watoto watatu wa mwisho NDIYO walifariki. Rose alikuwa mtoto wa mama wa kichagga Aneth
 
ni Dr HAULI (marehemu) sio Dr Haule....
hizi ndoa Mungu tusaidie
 
HAYO maelezo siyo kweli Kabisa, alikuwa na watoto wane Taji, Lorna, Pili na Iwene. Watoto watatu wa mwisho NDIYO walifariki. Rose alikuwa mtoto wa mama wa kichagga Aneth
Oh sorry kama Rose alikuwa anasema uwongo hiyo sijui, na kumbe alikuwa wa mama mwingine? mimi nimekua nae Rose na hii story alitusimaulia yeye na hao wadogo wakike nilikuwa nawaona wakija kwake, nilikuja tu kusikia amefariki.... basi Mzee Liundi alizaa na wanawake wawili its possible
 
Ni gomjwa gani la zinaa huyu mama alimuambukiza mumewe, ambalo mumewe hakutaka kumsamehe?
 
Kuna mengi ya kujifunza kupitia hii case law..kuna mambo yanatokea humu Duniani yanasikitisha kwa kweli.
Vipi Mzee Liundi bado yuko hai?
Agness je nae yuko hai?
 
Niliwahi meet na Taji akaniambia mama yake yupo hai. Ila kuhusu baba hata sikuwa na muda wa kumuuliza
 
MTAMBUZI HONGERA SANA KUITURUDISHA NYUMA ENZI ZILE. LKN KUNA KESI MOJA YA MAMA SIMBAULANGA HUYU ALIKUWA MFANYAKAZI WA BANK(siikumbuki) HEBU TUTAFUTIE MKASA WAKE.
 
Du! Nashukuru sana kwa material facts ya hii Jedi maana nilikuwa naitafuta sana. Naomba unaweza kunisaidia material facts ya Jedi ya said mwamwindi aliye muua kleruu. Vaveja sana
 
MTAMBUZI HONGERA SANA KUITURUDISHA NYUMA ENZI ZILE. LKN KUNA KESI MOJA YA MAMA SIMBAULANGA HUYU ALIKUWA MFANYAKAZI WA BANK(siikumbuki) HEBU TUTAFUTIE MKASA WAKE.

Nina hamu sana ya kujua facts za huyo case.
 
Wakuu Nimeirudisha Hii Kuna Utata Kidogo Kesi Niya 79, Akaachiwa Baada Ya Miaka Saba, Miaka Saba Ni Mwaka 86, Hapa Mwalimu Hakuwa Kiongozi. Ilikuwaje Amuachie Wakati Si Rais? Hata Kama Ni Rais, Ni Sheria Ipi Ili Mruhusu Kumuacha Mtu Alo Hukumiwa Kifo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…