Kesi ya aibu

Kesi ya aibu

fired

Senior Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
151
Reaction score
311
Mzee wa Baraza Alikuwa Anasinzia Wakati Kesi ya Shambulio la aibu Inaendelea.

Hakimu : Mlalamikaji ieleze Mahakama Alicho Kuambia Mshtakiwa.

Mlalamikaji : Mheshimiwa Hakimu Maneno aliyonambia Hayasemeki.

Hakimu: Basi Yaandike kwenye Karatasi.

Mlalamikaji : Akaandika, "Twende Tuka sex" akampa Hakimu.

Hakimu : Baada ya Kuisoma akawapa Wazee wa Baraza Wasome.

Mzee wa kwanza Alipomaliza kuisoma, akampa wa pili, ambae alikuwa ni mwanamke, naye akampa mzee aliyekuwa anasinzia.

Mzee ile kuisoma tuu, akastuka.....

😳
😳
😳

Akasema kwa sauti ya Chini...!

"Eeh..! Sasa hivi au baada ya Baraza..?"
😴
 
Wahuni hawa, wallah watakua CCM
 
Vizeee vimalaya Malaya vinapatikana CCM
 
[emoji15]
[emoji15]
[emoji15]

Akasema kwa sauti ya Chini...!
"Eeh..! Sasa hivi au baada ya Baraza..?"
[emoji42]
[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom