Kesi ya akina Halima Mdee, itafanyiwa "delaying tactics" hadi ifike wakati wa uchaguzi mkuu mwaka 2025?

Yes, hakuna sababu ya kupeleka wabunge wapya wakati ule uchaguzi ulikuwa wa hovyo, haiwezekani kuchanganya nyeupe na nyeusi ni ujinga tu.
 
Kuna mahali nimeona hizo kesi zina time limit ya miezi mitatu ziwe zimesikilizwa na kutolewa hukumu, nahisi hiyo sheria inahusu wabunge wa majimboni, ila sina hakika na hawa wa viti maalum.
 
Kwani Mwendazake alipokuwa akipanga njama hizo ovu za kuwanyima Mbunge yeyote wanachadema nchi nzima, hakulijua hilo?

Ngoja hao CCM wavune walichopanda🥺
 
upooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…