Kesi ya akina Mbowe ina manufaa gani kwetu CCM, mbona haitupi any political mileage?

Yaani aibu naona mm kuitwa mtz huku chama langu ndo lipo madarakani
 
Wewe ndio wale tunawaita CCM limbukeni
 
ccm imejengwa katika mfumo wa Ukatili na roho mbaya , sasa wewe kama huna hivyo vimelea bora tu utoke huko
 
Wewe ndio wale tunawaita CCM limbukeni
ccm imejengwa katika mfumo wa Ukatili na roho mbaya , sasa wewe kama huna hivyo vimelea bora tu utoke huko
Sasa nitoke niende wapi? Huko kwenu nako hamueleweki njaa inawasumbua sana
 
Hawataki wao kushitakiwa lakini wanataka wawashitaki wengine
muosha huoshwa, ipo siku watalipia gharama ya matendo yao, itafanyika review ya mikataba yote ya uwezekezaji kisha wawekezaji hawatasumbulia bt wote walioingia mikataba hiyo ya kuligharimu taifa watashughulikiwa, tuombe uzima tu.
 
Kwa nini usiitishe kikao lumumba, hapa hutopata msaada wowote
 
Siyo kwamba hawana akili. Wanatembea na gepu. Halafu kwasababu bibi ushungi kairithi hiyo kitu na kwasababu sukuma gang hawampendi na wala hawakutaka achukue nafasi hiyo, coincidentally bibi ushungi kakumbatia bomu, wanaacha limlipukie. Kwahiyo hapo usalama wao hawana ishu. Bibi ushungi alipaswa kujua huo ni mtego ili aepukane nao.
 
Umenichekesha sana"Anataka kurithi matatizo ya mtu binafsi"
Atafanyaje wakati yalikuwa kwenye pipe tayari
 
CCM iliyopo kwa sasa haina faida yoyote kwa taifa kinachokuuma ni kitu gani acha iendelee kutenda vitendo viouivu dhidi ya raia ili wapate mwamko na kuchukua maamuzi yasiyojali chochote mbele yao kunusuru nchi
 
Ona sasa badala ya sisi kupata political mileage kwa kumtia gerezani yeye ndo anapata political mileage nyingi mno![emoji23]
 
Wengi wanajua km Mbowe anafadhaika SANA kuwa gerezani, lkn ukweli ni kwamba Mbowe anafurahia sana kuwa gerezani kuliko kuwa mtaani aki organize masuala ya katiba mpya.

Mbowe hapo anafanya siasa ki sayansi sana kwa gharama kubwa ya CCM
Hahahaha[emoji23]
 
CCM iliyopo kwa sasa haina faida yoyote kwa taifa kinachokuuma ni kitu gani acha iendelee kutenda vitendo viouivu dhidi ya raia ili wapate mwamko na kuchukua maamuzi yasiyojali chochote mbele yao kunusuru nchi
Kinachoniuma ni chama changu kuwa kama zombie fulani hv amazing
 
Ngoma ikivuma sana mwisho inapasuka na ukichamba sana mwisho unaokota mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…