Kesi ya Babu seya inaweza kukatiwa rufaa??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Je nauliza Kesi ya Babu Seya inaweza kukatiwa rufaa kwenye mahakam hipi??au mahakama za nje na zipi??
 
Kesi ya Babu Seya haiwezi kukatiwa Rufaa, Mahakama iliyotoa maamuzi ni ya MWISHO hakuna nyingine tena, Labda aiombe mahakama hiyo hiyo ipitie uamuzi wake tena, wanaita REVIEW.wala Rais haruhusiwi na sheria kumpa Babu Seya msamaha! Atafia jela labda atoroke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…