Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Sio kweli 2004 ndio alikamatwa 2006 ndio alifungwa maisha ila ile kesi INA mkono wa mtu haikuwa huru kabisa ila nyie mahakimu Mungu anawaona!
We nadhan ulikua bado uko usingizini. Mpaka Kikwete anaingia madarakani babu seya ashahujumiwa tayari.
 
Ya lema ni upumbavu wake
Seya nimakosa yakibinadamu
Mwezi March mwaka 2011, aliyekuwa mtabiri maarufu Afrika Mashariki na Kati Marehemu Sheikh Yahya Hussein alitabiri kuwa mwaka huo kuna mtu maarufu nchini angefariki dunia. Miezi miwili baadae akafariki yeye. Unaelewa nini?
 
We nadhan ulikua bado uko usingizini. Mpaka Kikwete anaingia madarakani babu seya ashahujumiwa tayari.
We we ndio hujui Mimi hukumu yake ninayo IPO kwenye tablet na hata Papy Kocha nishawahi kumsalimia gerezani! Kama alifungwa 2004 alishikwa lini na kesi iliendeshwa muda gani?
 
Yesu
Aliuliza hii sarafu ni ya nani, nao wakajibu YAKAISALI
Basi vya kaisali mwachieni kaisali,
 
Kama ni kweli babu Seya alifungwa kwa makosa ya ubakaji basi ni haki yake ila kama Alisingiziwa laana itakuwa juu ya aliyesababisha hayo. .......si kwa mapenzi yangu ila Muumba mbingu na nchi. ...
 
Marais ni tofauti na sababu za kesi zao pia ni tofauti, sasa kesi zao ziko sawa kwa vipi?
 
Kuhusishwa JK na babu Seya ilikuwa kuchafuana tu kuelekea kinyang'anyiro cha urais 2005 ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…