sasa kuna uwezekano wa kuoona huo mkanda kama alivyoonyeshwa huyo balozi?Hapana ... hawakupakaziwa ... hawa watu walicheza mkanda wa mambo hayo na watoto .. mkanda ukauzwa nje ya nchi .. some foreign ambassodor to tanzania had gone back home on an errand ... akaufuma huu mkanda ambayo aliletewa akaambia see what is happening in Tanzania ... the ambassodor who knew the culprits came back to TZ ... called top officials and showed them the mkada ... luckily the guys were easily identified ... and the only thing to do was to pin them down ...wakatumia hizo mbinu as wale watoto waliyowachezea wasingepatikana .. this is why hii kesi no one could tamper with with it as there was recorded evidence ....
They are paying for their sins
Jamani tunajua hawa watu muziki ndio kazi yao wapendwa,sasa huko congo tusiwasikie hata kwenye muziki?fuatilieni pengine wamehamishwa magerezaMimi nilisikia wako DRC wakakabidhiwa kwa J.Kabila na wakaonywa wasirudi tena TZ.
Mtimti,
Bahati nzuri nilikuwa na maoni kama yako, nikaletewa faili, nakala, nzima ya kesi mpaka hukumu. Pamoja na mengine kweli jamaa waliwabaka wale watoto. Kuna vitu ambavyo wale watoto kama walitengenezwa wangeshindwa kuvijua au kuvikumbuka. Kama kabati ipo wapi etc.
Kasome jalada kaka upate ukweli. Hata hayo mmadai unayoleta hapa ni juu juu sana.
Mwandishi,Fairplayer, I agree with you entirely ..hii kesi iligusa hisia za watu wengi kwa namna tofautitofauti depending on which story you heard. Ila kweli proceedings kwa waliobahatika kuziona..inatisha waungwana!
Tusielemee upande mmoja kwakuwa ati kuna kuumizana kwa sababu ya penzi.maana hata kama kuna kuingiliana territories na kuwekeana revenge.... it doesnt absolve wahusika kutenda kosa la jinai kwa kuwaingilia watoto wadogo under 18yrs hata kama wameridhiana nao...this is statutory rape..warranting minimum jail term of 30yrs.It is a fact kuwa watoto underage siku hizi ni wajuzi wa mambo..na kama ilikuwepo hali hii...na ikawa ndoano kwa akina Nguza and sons..its too bad kuwa they swallowed the bait! Kosa linabakia palepale waungwana! hiyo imebaki history lets move on with life and draw some lessons out of it.Other would be pedophiles watch out..maana the long arm of the law can put an end to sweet life
Hivi hawa wafungwa wa kuonewa sasa wako gereza gani? Mimi nilisikia waliachia wakarudishwa kwao Congo DRC!
Mimi nilisikia wako DRC wakakabidhiwa kwa J.Kabila na wakaonywa wasirudi tena TZ.
Jamani mimi nilisikia sikia kuwa huyu jamaa ana personal comflict na muheshimwa fulan hapa Muunganoni.. na ndio maana wanasema eti atakiona cha mtemakuni..... Inanihuzunisha saaaaana.... yaaani saaana..... jana nilikumbuka kuhuzunika kwa familia yake....
eti ni kweli?
Mbona post yako haieleweki, hebu fafanua vizuri ili tupate kuelewa, maana umeandika kama vile un reply post, na kumbe umeanzisha mada.
Jamani mimi nilisikia sikia kuwa huyu jamaa ana personal comflict na muheshimwa fulan hapa Muunganoni.. na ndio maana wanasema eti atakiona cha mtemakuni..... Inanihuzunisha saaaaana.... yaaani saaana..... jana nilikumbuka kuhuzunika kwa familia yake....
eti ni kweli?
Halafu ukishajua?.
Jamani mimi nilisikia sikia kuwa huyu jamaa ana personal comflict na muheshimwa fulan hapa Muunganoni.. na ndio maana wanasema eti atakiona cha mtemakuni..... Inanihuzunisha saaaaana.... yaaani saaana..... jana nilikumbuka kuhuzunika kwa familia yake....
eti ni kweli?
Kwa upande wangu nalisikiaanga alimkandamiza demu wa Mzee. Halafu pia kuna tetesi eti alishatolewa segerea akapelekwa Congo kisirisiri watu wasijue. Mwenye uhakika atuambie basi ili tufahamu vema ati.