Demokrasia ipi sasa na wewe?Na Mwl. Alfred Maziku – Dar es Salaam
View attachment 3354387
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha misingi ya utawala bora, kwa kuruhusu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi kesi ya kiongozi wa CHADEMA, Tundu Lissu, kurushwa moja kwa moja kupitia vyombo vya habari.
Hatua hiyo imepongezwa na wananchi, wanaharakati wa haki za binadamu, wachambuzi wa siasa na wadau wa demokrasia, wakitafsiri tukio hilo kuwa ushahidi tosha wa Tanzania mpya inayoongozwa kwa misingi ya uwazi, uhuru wa taasisi, na kuheshimu haki za msingi.
Kesi hiyo ya uchochezi inayomkabili Tundu Lissu imekuwa gumzo katika nyanja mbalimbali, huku baadhi ya wanasiasa na makundi ya kijamii wakidai kuwa inatumika kisiasa. Kurushwa kwake moja kwa moja kumewapa maelfu ya Watanzania fursa ya kushuhudia mwenendo wa haki kwa macho yao, hatua iliyosaidia kuondoa dhana potofu, upotoshaji na propaganda zilizokuwa zikitawala mitandaoni.
Kupitia uamuzi huu, serikali ya Rais Samia imeonesha kwa vitendo kuwa haioni tishio katika ushindani wa kisiasa, bali inaweka mazingira wezeshi kwa haki, usawa na uwajibikaji kwa pande zote bila kujali itikadi au nafasi ya kisiasa.
Hakika, hatua hii imefungua ukurasa mpya katika historia ya haki jinai na demokrasia nchini. Ni ishara ya mageuzi ya kweli yanayojengwa kwa msingi wa kuamini taasisi zetu, heshima ya Katiba, na utashi wa kisiasa uliojaa hekima.
Wakati serikali ikiweka mazingira ya uwazi na uhuru wa kweli, ni wajibu wa vyama vya siasa kutumia fursa hii kwa uwajibikaji, nidhamu na kujitathmini. Badala ya lawama zisizo na tija, huu ni muda wa kila chama kufanya tafakari ya kina na kurekebisha mapungufu kwa mustakabali mwema wa taifa.
Uhuru wa mahakama si kurusha matangazo, it entails a lot more than that peanut gusture!Na Mwl. Alfred Maziku – Dar es Salaam

Kama hakuna sababu ya kujazana mahakamani ni mahakama yenyewe ndio inatakiwa kusema na sio serekali.Kwamaana akuna Sababu muimu ya kujazana Mahakamani wenye kujiepusha na matatizo watakaaa mbalii na Mahakama kwanzia Sasa,, wenye kutakiwa kwenda ni Mawakili na viongozi Wachache.
This is very good kwa kila mtu, hapa Serikali imeupiga mwingi,bravo!Na Mwl. Alfred Maziku – Dar es Salaam
View attachment 3354387
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha misingi ya utawala bora, kwa kuruhusu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi kesi ya kiongozi wa CHADEMA, Tundu Lissu, kurushwa moja kwa moja kupitia vyombo vya habari.
Hatua hiyo imepongezwa na wananchi, wanaharakati wa haki za binadamu, wachambuzi wa siasa na wadau wa demokrasia, wakitafsiri tukio hilo kuwa ushahidi tosha wa Tanzania mpya inayoongozwa kwa misingi ya uwazi, uhuru wa taasisi, na kuheshimu haki za msingi.
Kesi hiyo ya uchochezi inayomkabili Tundu Lissu imekuwa gumzo katika nyanja mbalimbali, huku baadhi ya wanasiasa na makundi ya kijamii wakidai kuwa inatumika kisiasa. Kurushwa kwake moja kwa moja kumewapa maelfu ya Watanzania fursa ya kushuhudia mwenendo wa haki kwa macho yao, hatua iliyosaidia kuondoa dhana potofu, upotoshaji na propaganda zilizokuwa zikitawala mitandaoni.
Kupitia uamuzi huu, serikali ya Rais Samia imeonesha kwa vitendo kuwa haioni tishio katika ushindani wa kisiasa, bali inaweka mazingira wezeshi kwa haki, usawa na uwajibikaji kwa pande zote bila kujali itikadi au nafasi ya kisiasa.
Hakika, hatua hii imefungua ukurasa mpya katika historia ya haki jinai na demokrasia nchini. Ni ishara ya mageuzi ya kweli yanayojengwa kwa msingi wa kuamini taasisi zetu, heshima ya Katiba, na utashi wa kisiasa uliojaa hekima.
Wakati serikali ikiweka mazingira ya uwazi na uhuru wa kweli, ni wajibu wa vyama vya siasa kutumia fursa hii kwa uwajibikaji, nidhamu na kujitathmini. Badala ya lawama zisizo na tija, huu ni muda wa kila chama kufanya tafakari ya kina na kurekebisha mapungufu kwa mustakabali mwema wa taifa.
Pasi na shaka, nimejiridhisha Mahakama za tZ zinapewa maelekezo na serikali na kama tu kada wa ccm Rostam alivyo tuambia!Na Mwl. Alfred Maziku – Dar es Salaam

Nia ovu waliyoipanga serikali na Mahakama ni kwamba watu wabaki ktk TV ili binu zao ovu zie delete mahakamani!Na Mwl. Alfred Maziku – Dar es Salaam