Napenda kufahamu yule Shikuba aliyekamatwa uwanja wa ndege na kisha kupelekwa Kilwa kwenye kesi yake ambae aliunganishwa na wenzie,Kesi yake inaendeleaje,Anaefahamu atujuze
Tatizo hapa ni uandishi wa habari wa kitanzania ambao tukio linaripotiwa leo na baada ya hapo hautalisikia tena. Sijui tatizo ni waandishi wa habari au tatizo ni watoa habari.