snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Baada ya muda mrefu kesi iliyokuwa inaikumba Google kwa kuwa moja ya kampuni inayomiliki platform nyingi zinazokusanya data pamoja na umiliki wa Google search engine ambayo imekuwa ikitumika kwenye browser nyingi duniani, kama vile Mozilla Firefox, UCbrowser, Safari, Google Chrome, Operamini n.k kama default search engine.
Hii ilisaidia Google kuweza kumonopolize biashara na kufanya kuwa kinala katika ukusanyaji wa data kiasi cha FBI kushindwa kuwamonitor effectively.
Data hizo wamekuwa wakizitumia kwenye Akili Mnemba (AI) Ili kuweza kutrain AI ktk kuelewa akili za watumiaji na nini wanataka.
Hatimaye sasa Google yaamliwa kuiuza Google Chrome ambayo ina thamani inayokadiliwa kiwa $20bln.
Sasa haijajulikana kama watakaonunua wanaruhusiwa kuitoa Google search kama default search engine au la, japo wanadai watakata rufaa lakini wamezuiliwa kujihusisha pia na biashara yeyote inayohusu search browsers.
Follow -> Snipa255
Pia soma
Kesi ya Google: Hatimaye waanza kurecommend browser nyingine mbali na chrome, Je Kuna haja Serikali yetu ikaondoa monopoly inayofanywa na Bakhresa ?