Kesi ya Google; Hatimaye walazimishwa kuiuza Google Chrome Browser kupunguza Monopoly kwenye biashara

Extension za kwenye Chrome ni nyingi zaidi ya za Mozilla, security ya Mozilla haifikii ya Chrome.
Hoja nyepesi hii, mfano wangu hakuna nacho kikosa kwenye Mozilla kipo kwenye Chrome, All basic essential features za best browser mozilla anayo, yena dev tools zake naona ziko poa zaidi ya chrome.
 
Hoja nyepesi hii, mfano wangu hakuna nacho kikosa kwenye Mozilla kipo kwenye Chrome, All basic essential features za best browser mozilla anayo, yena dev tools zake naona ziko poa zaidi ya chrome.
Labda kama unaitumia kwa matumizi ya kawaida tu, kwa advanced user mozilla ni useless. Halafu security ni hoja nyepesi kwa asiyejua anachokifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…