arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 584 Sep 28, 2011 #1 Hapa kwetu kama kesi iko mahakamani ni mwiko kuiongelea na hasa kwenye vyombo vya habari. Hapa Kuna mama ambaye alikuwa rafiki ya Michael Jackson anaitwa Hilton anaongea na CNN kama anatoa ushahidi, hivi sheria za marekani zinasemaje?
Hapa kwetu kama kesi iko mahakamani ni mwiko kuiongelea na hasa kwenye vyombo vya habari. Hapa Kuna mama ambaye alikuwa rafiki ya Michael Jackson anaitwa Hilton anaongea na CNN kama anatoa ushahidi, hivi sheria za marekani zinasemaje?
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Sep 29, 2011 #2 R.I.P. wakojako