Kwa hyo kesi ya Mbowe dhidi ya wale watendaji watukufu imeshatupiliwa mbali?Kesi za kikatiba huwa ni tofauti na za jinai au madai.Za katiba huwa hawatajwi watu wala hushtaki watu unaomba ufafanuzi wa maswala ya kikatiba tu.Ukishtaki mtu kwenye mahakama ya katiba hiyo kesi umepeleka pasipo umeingia choo cha kike wakati wewe ni mwanaume.Hiyo kesi jaji lazima aitupilie mbali
Sory labda ni sababu ya uelewa wangu mdogo katika sheria. Vipi kuhusu kesi za kina mtikila mbona ni za kikatiba na zina majina?Kesi za kikatiba huwa ni tofauti na za jinai au madai.Za katiba huwa hawatajwi watu wala hushtaki watu unaomba ufafanuzi wa maswala ya kikatiba tu.Ukishtaki mtu kwenye mahakama ya katiba hiyo kesi umepeleka pasipo umeingia choo cha kike wakati wewe ni mwanaume.Hiyo kesi jaji lazima aitupilie mbali