Mimi nina mdogo wangu ameshitakiwa kwa kesi ya wizi 2500000 n'a tajiri yake,kisha akasweka rumande kwa wiki mbili bila dhamana,baada ya hapo akapelekwa mahakamani pia akakosa dhamana kwahio akapelekwa segerea nako akakaa wiki mbili tena.Baada ya hapo sisi tukapata taarifa kuwa dogo yupo rumande,maana sisi tupo Kigoma dogo yupo Dsm,kwasasa nimemtoa dogo kwa remove order.Pia dogo hajalipwa mshahara wake n'a tajiri yake tokea mwezi wa mwaka jana nane n'a mkubaliano ya mshahara ni 150000 kwa mwezi,so dogo anamdai 1800000,wanasheria hii imekaaje?