Kama kesi haijasikilizwa huwezi fungua shitaka la kudai haki kwakuwa suala lako bado mahakama hainatambua Kama Una hatia au lah, cha muhimu Kama issue yako Ni ngumu weka wakili, au nenda vituo vya msaada wa sheria wakusaidie bure usipuuzie.Ahsante. Ni kweli kesi nimebambikizwa, bado haijasikilizwa bado iko Polisi nazidi kupotezewa mda kwenda Ku Report kila siku jambo ambalo linanifanya niwe na machungu na kunifanya nizidi kutamani kufidiwa
HUJASOMEKAVipi kama nikibambikiziwa kesi Na askari au RAIA yeyote nichukue hatua gain
Vipo kwenye maeneo mengi hasa jirani Na mahakama. Upo sehemu gani?Vituo vya msaada viko wapi
Unaweza na kimsingi wewe ndiye unayeshitaki, lakini kwa sasa huwezi fungua kesi kwa madai ya kushitakiwa kwa makusudi, kwakuwa bado hujaithibitishia mahakama kuwa huna hatiaKi sheria mimi mwenyewe siwezi kufungua kesi mahakamani??
Yap, maana moja ya uthibitisho utakaohitajika mahakamani Ni nakala ya hukumu uliyoshinda, okay we deal Na hii ya sasa then ukishinda niletee mrejesho nitakuassistBaada ya hukumu