Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ndogoTabora imeshindwa kusikiliza kesi ya madai mchanganyiko ya kuomba kurudishwa kwa mchakato wa mabadiliko ya upatikanaji wa Katiba mpya inayoikabili Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi zamani ikifahamika kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi pamoja na Mwanasheri Mkuu wa Serikali kutokana na mawakili wa Jamhuri kuiomba Mahakama hiyo iwaongezee muda wa kuwasilisha majibu ya kiapo cha mleta maombi.