GE2025 Kesi ya kupinga kuenguliwa kwa Luhaga Mpina kugombea Urais inaendelea mahakamani kwa njia ya mtandao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Kesi ya kupinga kuondolewa kwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 inaendelea kusikilizwa kwa njia ya mtandao mbele ya Majaji watatu wa Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma.

Shauri hilo limefunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa chama pamoja na mgombea husika, Luhaga Mpina, dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).

​
 
Sawa

Dr Nchimbi: Mwambieni Mpina arejee CCM haraka nitampokea mimi mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…