Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Kesi Ya kupinga uchaguzi iliyofunguliwa na Raila Ondinga na Wenzake Dhidi ya IEBC na Wenzake Itaanza Kusikilizwa Leo.
.
Taarifa iliyotolewa Kwa Wananchi wa Kenya na Msajili wa Mahakama juu ya Kenya Ndugu Wachira ni Kwamba usikikilizwaji wa Awali utaanza Leo Sa5 asubuhi Kwa saa za Afrika Mashariki.
.
Kesi itasikilizwa Kwenye Mahakama ya Mlimani Law Courts, Ndani ya Ukumbi Wa Ceremonial Hall.
View attachment 2339335View attachment 2339336View attachment 2339334