Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
duh! Umetisha ndugu yangu. Waroge wasikusumbue.Kwaiyo mnalinga na kesi yenu...soon nasisi tutapata yetu
Mtampa nani kesi ya mauaji ya halaikiKwaiyo mnalinga na kesi yenu...soon nasisi tutapata yetu
Halafu Katuga amemuuliza kwa nini hakupinga😀😃😄Si umeona sheria ya mashahidi wa kwenye vibanda vya mbwa kama ilianzishwa kupitia hii kesi basi mbeleni itafutwa baada ya kuona imegonga mwamba kupitia kesi hii ambayo ndio kosa kubwa katika nchi.
Halafu Katuga amemuuliza kwa nini hakupinga😀😃😄
Na kwenye ushahidi wao Lissu alikuwa anasisitiza majina na kila utambulisho wao kufutwa.