Kesi ya Lissu ilo kimkakati ili muda uzidi kupotea na uchaguzi uzidi kukaribia!

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,542
Reaction score
1,583
1) Siku Lissu anashinda kesi uchaguzi utakuwa umeshakaribia, hizo ni janja Janja za kijinga!
2) Pressure kutoka Bunge la ulaya kujadili swala la Lissu limewapa kiwewe Serikali, hivyo wameanza kuachia
3) Kilichokuwa kinafanyika huko mahakamani na vitamko vya viongozi wa CCM, mawaziri, Judge ni utoto tyu!
4) Huyu mama anazidi kujiondolea sifa zake, 4R za kinafiki aisee!... Inaumiza sana.....
5) Kuna Chama kinatafuta fursa hii ya Chadema kutoshiriki uchaguzi ili kiwe Chama kikuu Cha Upinzani hao ni ACT Wazalendo Bungeni
...... Jambo lakufikiri
6) Go on Chadema mko on 🔥
 
Uko sawa kbs hasa hcho chama cha zitto wanatafuta kuwa na nguvu kwa kupewa zawadi ya wabunge na maccm badala kuitafuta nguvu hiyo kwa wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…