Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

Status
Not open for further replies.
LOL! Fidel80 umejuajee? mlikuwa wote huko nini?
Mkuu si unajua sisi ndo watalaamu wenyewe ila jamaa alikuwa anaweka mambo sawa si unajua nyota yake imechafuka sana watu mnashindwa hata kujitokeza kumdhamini angalau tu afikishe nusu....hahahahaha
 
Tatizo kubwa ni PCCB kugeuza kesi hii kuwa media circus, sidhani kama walifanya juhudi kweli kumtafuta zaidi ya kutangaza kwa vyombo vya habari na kutoa ofa ya zawadi ya donge nono...
 
Tatizo kubwa ni PCCB kugeuza kesi hii kuwa media circus, sidhani kama walifanya juhudi kweli kumtafuta zaidi ya kutangaza kwa vyombo vya habari na kutoa ofa ya zawadi ya donge nono...
 
Yupo free au kawekwa kizuizini maana habari zinakuja tofauti tofauti na vp kuhusu watu wamejaa sana eneo husika?
 
kama alivyosema kardinali pengo pamoja na mabaya yake ya kumkumbatia mkapa ni kweli, nchi inaongozwa na magazeti au tuseme vyombo vya habari, judiciary, executive even parliament hamna kitu. vyomba vya habari walishamhukumu katoroka, ukiacha hili kuna mengi tutajilaumu
 
Kwa mliopo karibu hapo vipi mambo ya Usalama (TISS, FFU, POLICE, Waganga wa Kienyeji)?
 
hebu tuhabarisheni sisi tuko mbali kidogo ya bongo
 
du!!ebwana eeh!!!nimekosa hilo donge nono maana nilikwisha mtresi jamaa hadi chimbo alilokuwepo nikawa najaribu kumtishia kama ataongeza dau la takukuru. Afu wazee wa magazeti kesho kutwa watakosa muendelezo labda pccb wafanye drama tena.
 
Du ngomanzito mbona hii ni kubwa sana?? imekuwaje sasa hata akaahirisha safari muheshimiwa huyu?

Usicheze na JF tutakuweka bayana mpk ujisikie kizunguzungu lakini yote haya tunafanya ni kwa manufaa ya taifa na kizazi chetu kijacho. I LOVE JF
 
Leo bi hadija msongo anajitoa ktk kesi hiyo na liyumba anarudi ndani ili kutoa fursa kwa the coming rm ai study case na kujenga msingi mpya wa kesi hiyo na si vinginevyo, kwahiyo hapo ni kweli mseminari liyumba anarudi lupango.
 
Alikuwa kwenye nyumba yake ya Magomeni kwa Mganga wa kienyeji (Mtabiri)
 
Naona hakuna jipya/updates sijui niende mwenye kisutu!
Nako lazima kutakuwa na mtu kibao mpaka nitashindwa kupata data sijui nifanyaje hapa...ngoja niendelee kusubili hapa hapa....
 

Mwikimbi ni assumption ya ajabu hiyo. Vyombo vya habari vilikuwa vinawanukuu watu wa PCCB ambao walitangaza kuwa haonekani na walisema wametenga donge nono kwa atakayesaidia kufanya apatikane. Hizo habari hazikupikwa na vyombo vya habari. Na kama vyombo vya habai vingekaa kimya basi kuna uwezekano kuwa angepotea kwelikweli. Wewe mwenyewe umekiri kuwa katika mihimili ya serikali inayofanya kazi vizuri, sasa hivi kidogo ni bunge na mhimili mwingine wa nne ni media. Natoa credit kwa media
 
Kumbe Liyumba alipita seminari,no wonder yuko hivyo alivyo! analipia alichokuwa anakosa wakati huo!
 

Haha!! Issue hii imeonyesha wazi kuwa 99% ya wana JF hawako makini katika uchambuzi wao. Ni only 1% waliosema kuwa tusubiri mpaka leo 24/02 ndio tujue hatma ya jambo hili ndio waliopatia na ndio waliokuwa na mchango wa busara.

Imagine sisi wengine tulisema mambo kibao na kuwatukana watu na serikali bila kuwa na subira. Maneno yetu yote yameishia kapuni. wahenga walisema "time is the greatest healer"
 
Kisutu ni kweli imefurika sana leo, hata wenye pumzi mbovu hapa hapawafai kabisa, all in all mimi ninategemea sana mh.hadija msongo atajitoa ili kuipa fursa mahakama kufanya kile ambacho kila upande utaona yafaa, akigoma kufanya hivyo basi analo lake jambo.

Ikiwa hiki ninachobashiri kitatimu basi ni lazima re-asigned part aombe fursa ya kupitia malalamiko ya pccb na utetezi lakini pia ili kuondoa utata wa mwenendo wa kesi ni wajibu na hekima kwa hakimu huyo kumrudisha liyumba ndani au la kama kile kilichosemwa awali na akina prof. Fimbo kuwa pccb hawakufuata procedure ktk ufunguaji kinaweza kumrudisha street liyumba.

Those are posibilities wana jf
 
at least now the gvt is trying to show its responsibility to citizens. but we want more.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…