Aise kama hii ni kweli basi mahakama (jopo la mahakimu husika) wawajibike kwani Mawakili wa Serikali walipinga sana jamaa kupewa dhamana kutokana na sababu kuu mbili
1. Aliwasilisha mahakamani passport iliyokwisha muda
2. Ametoa 1.4% ya dhamana stahili tena katika hiyo 1.4% kuna kuku, mbuzi, kondoo nk
Hapa lazima mahakama iwajibike.
tehe tehe.....si pass yake iliisha muda?
katoroka nje ya nchi au?
Its True and Confirmed!
Aise kama hii ni kweli basi mahakama (jopo la mahakimu husika) wawajibike kwani Mawakili wa Serikali walipinga sana jamaa kupewa dhamana kutokana na sababu kuu mbili
1. Aliwasilisha mahakamani passport iliyokwisha muda
2. Ametoa 1.4% ya dhamana stahili tena katika hiyo 1.4% kuna kuku, mbuzi, kondoo nk
Hapa lazima mahakama iwajibike.
Its True and Confirmed!
Passport iliyokwisha muda ilikubalika vipi kuwa kama valid document?No verifications procedures?
Hakimu anaweza kupewa pesa ambayo hawezi kuiingiza maisha yake yote ya uhakimu...Rushwa na WIZI MTUPU!
Tehe, tehe
Yanafuatia ya USA sasa, tutaambiwa kuna maziko sasa hivi sijui itakuwa South Africa au labda UK.
Tehe, tehe
Jana niliomba ufafanuzi mimi kuhusiana na maamuzi ya Hakimu Khadija.
Na sasa nahisi yatafuatia ya USA, tutaambiwa kuna maziko sasa hivi sijui itakuwa South Africa au labda UK.
lakini kwani jamaa wakati anadhaminiwa hakunyang'anywa paspoti yake ?
Inasemekana hakimu Hadija "ameshachukuliwa" na TAKUKURU ..... tunaomba confirmation kwa mlioko huko.
Au labda yuko hapahapa Dar amejichimbia Uswazi? ansubiri ishu ipoe kisha anaishia kiulaini.Sasa hivi mtasikia kuwa amefia ughaibuni azishi yake ni mpaka kwa mwaliko maalum!!!
Njama ilikuwa bayana pale dhamana ya bil 55 iliposhushwa mpaka mil. 880! Kesi hii ni lazima izue kesi.
Inasemekana hakimu Hadija "ameshachukuliwa" na TAKUKURU ..... tunaomba confirmation kwa mlioko huko.