Siyo kwamba alipewa utamuu..![emoji41] [emoji41]judge keshakula zake
Kesi wanakuanazo wakina sheikh ponds mwenye sura ngumu lulu mrembo hawezi kuwa na kesiIle Kesi ya Lulu kuhusika na kifo cha Kanumba imefikia wapi? Isije ikawa imeisha mi tu ndio sina habari.