Kesi ya Lulu kuua bila kukusudia hivi iliishaje? Mawakili wasomi mpo?

Kesi ya Lulu kuua bila kukusudia hivi iliishaje? Mawakili wasomi mpo?

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
5,383
Reaction score
4,323
Baada ya kifo cha Kanumba Msanii Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu alifikishwa mahakamani kwa tuhuma za kusababisha kifo cha msanii mwenzake Kanumba.

Ni muda muda mrefu Sasa sijasikia hatma ya kesi hiyo.

Siku hizi Kuna watu wanaitwa mawakili wasomi sijui kama wanajua kinachoendelea ktk kesi hiyo.

Je kesi ilishakwisha? Na utata wa umri wa Lulu uliishia wapi?
 
Hao mawakili wasomi ndo wamesaidia kuipoteza hio kesi BTW ulishasikia kesi ya afisa yyt aliyeisababishia serikali hasara kwenye lile sakata la watumishi hewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BISECKO kesi ni ya jamhuri sawa, ila mashahdi ndiyo wenye kesi na mara nyingi ni ndugu wa mhusika (aliyekufa).. Kwa hyo bila mashahd au ndugu kutilia mkazo wakati mwingne hurahsisha kesi kufa.. Ila sina hakika kama mama lulu alipewa mkwanja..labda afafanue aliyetuhumu.
 
Back
Top Bottom