Hao mawakili wasomi ndo wamesaidia kuipoteza hio kesi BTW ulishasikia kesi ya afisa yyt aliyeisababishia serikali hasara kwenye lile sakata la watumishi hewa?Baada ya kifo cha Kanumba Msanii Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu alifikishwa mahakamani kwa tuhuma za kusababisha kifo cha msanii mwenzake Kanumba.
Ni muda muda mrefu Sasa sijasikia hatma ya kesi hiyo.
Siku hizi Kuna watu wanaitwa mawakili wasomi sijui kama wanajua kinachoendelea ktk kesi hiyo.
Je kesi ilishakwisha? Na utata wa umri wa Lulu uliishia wapi?
Majibu yako nayapendaMi sijui
HayaMajibu yako nayapenda
Nafikiri unakosa ufahamu, kesi ya jinai anayeshitaki ni jamuhuri na si mtu binafsi, hizo tuhuma zako hazina mantiki.Mama kanumba alipewa pesa ndefu sana ili kumtuliza asihangaike na kesi.