TRUE TANZANIAN
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 433
- 472
Ile bhana hakujinyonga alikufa nyumbani kwake kwa shinikizo la damu mkuu au nimekosea?ditopile aliua..kwa kukusudia
alikua anajitetea hivo tu ili adhabu ipungue..chezea kifungo cha maisha!
alikua barabaran foleni ndefu sasa dereva wa daladala aliovateki na kujikuta anapiga pasi(kulikwaruza) gari la ditopile..mzee nae alikua na jazba..si unajua uheshimiwa...nahos dereva alimjibu vibaya..dito akachomoa bastola fasta puuuh!kamshuti dereva wa daladala kichwani.
na konda alikuwepo kashuhudia..
dito katelekeza gari na bastola kakimbia..ila walimwona.
alihukumiwa kifungo cha maisha akajinyonga jela.
huyo jamaa itakua alichanganya pombe na Viagra,mapigo ya moyo yakaenda mbio akaflot[emoji28] [emoji28] walikua wamemaliza kuruka majoka
ni kweli...alifia hotelini.Ile bhana hakujinyonga alikufa nyumbani kwake kwa shinikizo la damu mkuu au nimekosea?
Ditto was provoked.ditopile aliua..kwa kukusudia
alikua anajitetea hivo tu ili adhabu ipungue..chezea kifungo cha maisha!
alikua barabaran foleni ndefu sasa dereva wa daladala aliovateki na kujikuta anapiga pasi(kulikwaruza) gari la ditopile..mzee nae alikua na jazba..si unajua uheshimiwa...nahos dereva alimjibu vibaya..dito akachomoa bastola fasta puuuh!kamshuti dereva wa daladala kichwani.
na konda alikuwepo kashuhudia..
dito katelekeza gari na bastola kakimbia..ila walimwona.
alihukumiwa kifungo cha maisha akajinyonga jela.
Nina ham ya kubaka. Nitafuteaisee.
Acha uongo Dito hakujinyongaditopile aliua..kwa kukusudia
alikua anajitetea hivo tu ili adhabu ipungue..chezea kifungo cha maisha!
alikua barabaran foleni ndefu sasa dereva wa daladala aliovateki na kujikuta anapiga pasi(kulikwaruza) gari la ditopile..mzee nae alikua na jazba..si unajua uheshimiwa...nahos dereva alimjibu vibaya..dito akachomoa bastola fasta puuuh!kamshuti dereva wa daladala kichwani.
na konda alikuwepo kashuhudia..
dito katelekeza gari na bastola kakimbia..ila walimwona.
alihukumiwa kifungo cha maisha akajinyonga jela.
Daaah ila kweli. Hivi ile ya Dito sio wanafamilia walifanya yao kweli? Ila Kanumba bhana jamaa alikufa na soko la bongo muvi. Hakunaga tena kukua kwa sanaa ya uigizaji wala nini wamebaki wapiga kelele na mabishoo akina Ray & co.ni kweli...alifia hotelini.
aliua kwa kukusudia ila sabb ana mkono mrefu wakambadilishia ikawa bila kukusudia..kisa kijana ni mnyonge tu
ila Mungu hachezewi..nae kaenda.
sasa tatizo huyu lulu labda angekuwa mbunge....ni mtoto wa kapuku tu huko..atatoa nini serikali imsamehe?
pia kanumba ni mtu maarufu sana..
i was mistaken dude..Acha uongo Dito hakujinyonga
ndo iwe sababu ya kuua?Ditto was provoked.
ditto alikua mkuu wa mkoa..kama leo bashite na magu..Daaah ila kweli. Hivi ile ya Dito sio wanafamilia walifanya yao kweli? Ila Kanumba bhana jamaa alikufa na soko la bongo muvi. Hakunaga tena kukua kwa sanaa ya uigizaji wala nini wamebaki wapiga kelele na mabishoo akina Ray & co.
Mkuu hivi ikitokea shahidi kwa upande wa mashitaka hajatokea zaidi ya mara 3 inakuaje. .?kuna vitu vingi vinachangia kesi kuchelewa kumizika na kutolewa hukumu.kama kukosekana ushahidi,mashahidi kutotokea mahakamani hivo kesi kuhairishwakutokamilika kwa upelelezi..kukosekana uahahidi,mlundikano wa kesi nyingi mhakamani hivo utaskia kesi inapigwa kalenda hadi miezi miwili ijayo au mitatu ndo itasikilizwa tena nk.
ila keai ya huyu dada kuna mambo mengi yalijitokeza..ni haya
-alidanganya umri..akikuwa jila ataopoulizwa anasema ana miaka 18..tangu akiwa na miaka 15.anaingia club na kulewa huko..amaenda uhamiaji anapewaje sihui passport eti ana miaka 18,visa anapewa,gari anaendesha.na mengineyo
so siku alivopatwa na huu msala na kukamatwa akiandikiahwa polis akasema ana miaka 18.
akapelekwa mahakama.ghafla babake akaibuka akasema mwanangu ni mtoto..ashtakiwe kama mtoto hajafika 18..nimemzaa1995..2012 hiyo ana miaka 16 na ndo anakaribia kufikisha 17.
so ukaibuka mvutano..ashtakiwe wapi..mahakama ya watoto au watu wazima!?
mahakama na polis wanasema tunamtambua kama mtu mzima wa miaka 18..baba mtu na wakili kibatala wanamtambua kama mtoto na kuweka pingamizi...so badala ya kusikiliza kes ya mauaji wakaanza kwanza kesi ya wapi akaahtakiwe..kama mtoto au mtu mzima..hii ilipelwkea hata yeye lulu kukaa segerea kama mahabusu kwa miezi tiaa hadi alipoombeqa dhamana akapata kwa million 20 ndo akarudi uraiani kwa masharti...uongo qake ulimcost mwnyewe.
-pili akiwa uraiani alikuwa anapewa tarehe anahudhuria.tukashangaa ghafla kimyaa..inaaemekana alipata tajiri wa madini aliwnda kuhonga pesa za kutosha kesi ipotezewe..na ikawa hivo lakini faili bado lilikuwepo.
hivi majuzi magufuli aliteua jaji mkuu mpya..huyu jaji alivoingia kazini akakuta mlundikano wa kesi nyingi.haikufurahisha.halafu mahakimu,mawakili na wafanyakazi wengineo ndo walikua wanatarajia kuingia likizo.huku kuna kesi si chini ya mia nne..na kuna mahabusu wana hata miaja mitano wako jela wanasubiri keai ziishe ..akawapiga atop hakuna cha likizo wala mjomba ake likizo..mpaka mmalize hivo viporo vya kesi.
wakapewa na budget..kazi ikaanza..
so kwa sasa ni bampa to bampa hadi kesi zote ziishe..hakuna kiporo.
kila siku zinasomwa kesi nyingi tu sema hazina umaarufu..
hii ndo imefika..na ukiangalia ilianza alhamis..ikaaikilizwa tena ijumaa..inatarajiwa tena jtatu..hii inamaanisha keai itaisha ndani ya mwez huu huu na hukumu itatolewa.
kama aio amri ya huyu jaji kesi ingeskilizwa miaka kumi ijayo.
ataachiwa huru....kama mna mwanasheria atawasaidia..bila ushahidi watamhukuje?Mkuu hivi ikitokea shahidi kwa upande wa mashitaka hajatokea zaidi ya mara 3 inakuaje. .?
Mana mjomba wangu ananyea ndoo mwaka wa 3 huu kesii ya kuua .Tarehe ya kesii imepangwa zaidi ya mara 3 shahidi upande wa hao washitaki hajatokea
Aaanha. .na tukitaka kufungua kesi ya madai kwa kumpotezea muda.ataachiwa huru....kama mna mwanasheria atawasaidia..bila ushahidi watamhukuje?
Yaaaah nakumbuka alikua mkwe kwa Mjomba kitu kama hicho. Sasa makapuku mtasema nini? Maisha haya mwanangu ngoja tu tupambane nayo kibishi!ditto alikua mkuu wa mkoa..kama leo bashite na magu..
bashite akiua unadhan itakuwaje?
ndugu hawana nguvu kivile..ila cheo na rushwa..
kuna uzi nimekutag..angalia
ditto alikua mkuu wa mkoa..kama leo bashite na magu..
bashite akiua unadhan itakuwaje?
ndugu hawana nguvu kivile..ila cheo na rushwa..
kuna uzi nimekutag..angalia
it is possible..atadai fidiaAaanha. .na tukitaka kufungua kesi ya madai kwa kumpotezea muda.
Vipii is it possible. ??
Sawa Mkuu shukraniit is possible..atadai fidia
ila isiwe kipaumbele
kateni rufaa tu aachiwe huru