Kesi ya Lulu ya Kumuua Kanumba itaanza lini kusikilizwa?

Kesi ya Lulu ya Kumuua Kanumba itaanza lini kusikilizwa?

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
Maana naona mtu anajiachia tuuu mjini as if nothing happened in April 2012. Wataalamu wa mambo ya sheria njooni hapa mtufahamishe, dhamna imekua kama kuachiwa huru? Tunamkumbuka sana Kanumba na tungependa ukweli ufahamike juu ya kifo chake.

Nimemaliza.
 
maana naona mtu anajiachia tuuu mjini as if nothing happened in April 2012....wataalamu wa mambo ya sheria njooni hapa mtufahamishe...!!dhamna imekua kama kuachiwa huru?...Tunamkumbuka sana Kanumba na tungependa ukweli ufahamike juu ya kifo chake.

nimemaliza.
Nenda High court ofisi ya masijala kaulizie huko utapata taarifa unazohitaji.
Tuondolee kiwingu wacha wafu wazike wafu wao, kama unampenda
Kanumba mfufuwe basi.
 
ulikuwepo wakati anamuua?au unajiongelea tu kama vile una ushahidi.
 
maana naona mtu anajiachia tuuu mjini as if nothing happened in April 2012....wataalamu wa mambo ya sheria njooni hapa mtufahamishe...!!dhamna imekua kama kuachiwa huru?...Tunamkumbuka sana Kanumba na tungependa ukweli ufahamike juu ya kifo chake.

nimemaliza.

Mama yake Kanumba ameshayamaliza na kusamehe,wewe nani mpaka utokwe na povu na kujifanya una uchungu nae?
Stop hatin man

"Nlikuwepo":bolt:
 
Nenda High court ofisi ya masijala kaulizie huko utapata taarifa unazohitaji.
Tuondolee kiwingu wacha wafu wazike wafu wao, kama unampenda
Kanumba mfufuwe basi.

Hakuna kesi hapo! Itakuwa inatajwa kwa msimu kama ile ya Mramba na Mgonja. Kesi wanapewa wanyonge wasio na pesa wala sapoti. Kuta mtu ameuawa nyuma ya nyumba yako uone msaala utakao upata! Utasaidia polisi upelezi hata miaka mitatu uko nyuma ya nondo.
 
Hata mi nataka kufahamu au mahakama ni kwa ajili ya sisi tusiofahamika?
 
Hayo mambo ya kifamilia, ulitaka nani afe mkuu badala yake?
 
Acha uchuro we b.w.e.ge.Katoto katamu kale wacha tufaudu jela panakufaa wewe tena ukileta za kuleta tutakubambikia kesi ya ujambazi muda si mrefu.Nyambaf
 
Mama Kanumba na Lulu sasa ni maswahiba.Mshahara anaopokea Lulu kutoka kwakina Riz moko na Kwaya Masta wetu na 'mamamkwe' ananufaika,naye anashine hapa mjini kupitia commission za Lulu.So hiyo kesi itabak story tu
 
criminal case haimalizwi kwa uswahiba ni vs jamhuri kwa hiyo urafiki wao hauna uhusiano na hiyo kesi
 
Back
Top Bottom