Kesi ya Lulu yawekwa kiporo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
KESI ya kuua bila kukusudia inayomkabili mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu' imewekwa kiporo kufuatia kuwepo kwa kesi nyingi za mauaji mahakamani, Risasi Mchanganyiko limetonywa.

Kwa mujibu wa chanzo makini,kuna uwezekano mkubwa wa kesi hiyo kusikilizwa tena Februari mwakani kutokana na mlolongo mkubwa wa kesi za mauaji zilizopo Mahakama Kuu ya Tanzania.

Chanzo hicho ambacho kipo ndani ya kamati ya majaji wanaoshughulikia kesi hiyo, kimenyetisha kuwa kesi ya Lulu itakuwa ngumu kusikilizwa wakati huu kwani mbali na wingi wa kesi mahakamani hapo, lakini pia majaji na mawakili watakwenda likizo.

"Ujue kesi ya Lulu ilikuwa miongoni mwa ambazo zingesomwa kabla ya mwaka huu kuisha, ila kulingana na vikao vya majaji inaonyesha wazi kabisa mwaka huu itakuwa ngumu hata Januari haitawezekana kwani wana kesi kama tatu za mauaji na baada ya hapo watakwenda likizo sambamba na mawakili kwani nao ndiyo kipindi chao cha likizo," kilisema chanzo chetu.

Lulu anakabiliwa na kesi ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa mpenzi wake, Steven Kanumba, Aprili 7, 2012 maeneo ya Vatican-Sinza jijini Dar. Kifo cha Kanumba kilichotokea nyumbani kwake, kilidaiwa kilitokana na kuangukia sehemu ya nyuma ya kichwa ambapo alipata mtikisiko wa ubongo kisha kuzikwa kwenye Makaburi ya Kinondoni, Dar.

Chanzo:GPL
 

Attachments

  • 1416394063279.jpg
    62.8 KB · Views: 393
Dinazarde pita uone uku mafagio yetu, kumbe hadi kwa kina sintah tunabamba eeh? Dah bas sie ni nyokoo, nimefurahi sana kuona nina mashabiki wengi wa maubuyu ahahaha shout out kwako popote ulipo kwa ufagio

Ila too Bad mimi bado sijajiunga uko kwa sintah, japokuwa watu wengi wananifananisha na nani sijui ila ki kweli mimi sipo uko, ila soon ntajiunga uko kama mnanikubali gossipcop wenu, bas sawaaa. Cc: Mrembo by Nature, geniveros
 

Attachments

  • 1416394102952.jpg
    31 KB · Views: 363
Last edited by a moderator:
nilishasahau hata kuwa ana mashtaka
 

binam unabamba ile mbaya.
Sema endelea kujificha nyuma ya keyboard wabaya wengi wasije kukumwagia tindikali bure jukwaa likadorola bureeee.
 
Last edited by a moderator:

Kumbe ni shidaaaaa eeeeeeeeeeee,,,,,mi sijui kujiunga kule hhhhhhhaaaaaa warumi kiboko yaooo wanaokuchukia wanapungua wanaokupenda wanaongezekaaaaaaa hhhhhaa
 
Last edited by a moderator:
Hii kesi ya lulu ishapigwa kimya tu wanajiongeleshaaaa tu
 
binam unabamba ile mbaya.
Sema endelea kujificha nyuma ya keyboard wabaya wengi wasije kukumwagia tindikali bure jukwaa likadorola bureeee.

Niko makini sana binamu, usalama muhimu
 
Kumbe ni shidaaaaa eeeeeeeeeeee,,,,,mi sijui kujiunga kule hhhhhhhaaaaaa warumi kiboko yaooo wanaokuchukia wanapungua wanaokupenda wanaongezekaaaaaaa hhhhhaa

Wenyewe wanaponda watu wanazid kunikubal, ni shidaa wameze chupa tu, warumi ndo anazid kupaa tu dadekii
 
Last edited by a moderator:
hakuna kesi wasituchoshe na wanatukumbusha tu marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…