Kesi ya Lwakatare imefikia wapi?

Kesi ya Lwakatare imefikia wapi?

Du Bois ideas

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
427
Reaction score
83
Ndg wan JF, kujua kesi ya Rwakatale inaanza kusikilizwa lini? Mbona sijasikia hata humu jukwaani ni lini inaanza kusikilizwa? naomba kufahamishwa au ndo ushahidi bado?
 
Ndg wan JF, kujua kesi ya Rwakatale inaanza kusikilizwa lini? Mbona sijasikia hata humu jukwaani ni lini inaanza kusikilizwa? naomba kufahamishwa au ndo ushahidi bado?


Kweli mkuu, make taratiibu inaanza sahaulika, ukizingatia zinaanza sarakasi za bungeni! Hivi hata dhamana bado tu? Kuna haja ya kuendelea kujadili na kuweka mambo hadharani ili wajue tunajua wanachokifanya wapatwe na aibu ya uso na dhamira zao ziwasute!
 
Usikute wanatafuta mtu mwingine mwenye sauti ama anayeweza kusema exactly kama Rwakatare ili ajazie jazie pale walipoongezea maneno ili mtiririko uwe mzuri. Na pengine sasa na version ambayo sauti yake iko clear haina kumun'gunya kama hii ya kuanzia.

Maana mung'umunyo wa ile video is one of the strategies.
 
kama ndo hivyo wakiwa wanajiandaa na ushahidi si wampe dhamana? na kama wanaona ina wa cost si waifute kama walivyofanya pale awali ili mambo yaishe tuendelee na maisha. Kama ishu imeshtukiwa waachane nayo.
 
Mwigulu ameenda kumuuliza Mganga wake bado hajaleta majibu sentro!!
 
Mna haraka ya nini? Kesi ya Rwakatare ni kama kesi nyingine; zipo nyingi ambazo zipo kabla yake yeye mwacheni aendelee kuwepo mahabusu wakati waendesha mashtaka wakiendelea na uchunguzi wahusika wapo wengi lengo ni kuhakikisha sheria inafuata mkondo wake.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Jamii imeshajiandaa kisaikolojia kuona "Kubwa la Maadui" nalo linakamatwa...
 
Kuna dalili ya uvunjifu wa haki za msingi za mtuhumiwa, na mbaya zaidi wameisha jichanganya na ushahidi wao mfu.
 
Back
Top Bottom