James alamba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 216
- 106
Nyosha Kwanzaa Maelezo ndio tukushauli aiiimba? Unaposema tena kuwa alisingiziwa inamaana hadaiwiiii? Je ni Deni alipewa? Au alisingiziwa vipi?Naomba mnisaidie ili waungwana nina ndugu yangu alisingiziwa kosa la uwizi wa sh million mbili . Baada ya hapo akawekewa dhamana na rafiki yake ila sasa alipoona ameshindwa kulipa izo fedha akibidi akimbie kama kwa mwezi mmoja ivi sasa yule aliemuwekea dhamana akakamatwa na akalipia lile deni la million 2 sasa uyu ndugu ikabidi atafutr hela za kumlipa uyo mwenzie bado kapambana lakini ameshindwa kulipa ilo deni sasa leo wamemkata tena polisi ili alipe deni ilo na pesa hana ya kuweza kulipa ilo deni la mkopuo sasa naomba ushauri ni jinsi gani naweza kumsadia kisheria ili aweze kupata unafuu.? Nawasilisha kwenu wadau
Walienda sehemu na mwenzie kufanya biashara walipo lala guest waliibiwa izo pesa million 4 sasa mwenzei akampeleka polisi kwa kusema yeye ndio kaiba. Kutoka walikuwa wamechanga ndio mwenzio akamwambia amlipe million 2 akawa hana pesa maana na yeye pia alikuwa ameibiwa izo nyingine so akawekwa ndani ndio kuna mtu kamtolea dhamana na kumlipia izo pesa 2 million sasa hana hela ndio anajitafuta amlipe kidogokidogo nae kamkamata kamuweka ndaniNyosha Kwanzaa Maelezo ndio tukushauli aiiimba? Unaposema tena kuwa alisingiziwa inamaana hadaiwiiii? Je ni Deni alipewa? Au alisingiziwa vipi?