Kesi ya maslahi ya wanahisa wa kampuni inaanzia kusikilizwa mahakama ipi?

Kesi ya maslahi ya wanahisa wa kampuni inaanzia kusikilizwa mahakama ipi?

Messenger RNA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
1,411
Reaction score
3,712
Ndugu zangu naomba kuuliza:

1.Kesi ya maslahi ya wanahisa wa kampuni inaanzia kusikilizwa mahakama ipi?

2.inaweza endeshwa na wanahisa wenyewe bila wakili?

ASANTENI SANA.
 
Nitajibu suala la pili. Kutokana na suala hili kuhusisha maandishi Kwa kiasi kikubwa ni vema mkatumia mawakiri Ili msije mkaingia kwenye mitego yakisheria na mkapoteza haki zenu.
 
Suala la mikataba ikiwa ni pamoja na mambo ya hisa huwa linakuwa na "technical issues" kadhaa, hivyo ni vema mawakili wakahusishwa, vinginevyo mnaweza kujikuta mnaangukia pua.
 
Suala la mikataba ikiwa ni pamoja na mambo ya hisa huwa linakuwa na "technical issues" kadhaa, hivyo ni vema mawakili wakahusishwa, vinginevyo mnaweza kujikuta mnaangukia pua.
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom