R Rwabukambara Member Joined Mar 16, 2011 Posts 41 Reaction score 19 Oct 25, 2012 #1 Kwa wenye taarifa zaidi naomba watujuze kuhusiana na kesi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania. Wadau mliopo Kisutu mna loloteeeeeee?
Kwa wenye taarifa zaidi naomba watujuze kuhusiana na kesi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania. Wadau mliopo Kisutu mna loloteeeeeee?
Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member Joined Dec 6, 2006 Posts 3,019 Reaction score 579 Oct 25, 2012 #2 Kwa wakubwa sio eneo la uzi huu. Mamod wahamishie jukwaa linaloifaa kuitendea haki.