mastersajenti
Senior Member
- Dec 4, 2015
- 165
- 24
Ninaomba kuijua kesi ya kihistoria iliyotokea miaka ya sabini ilikuwa inamkabili mkulima Wa isimani Bw.Abdallah Mwamwindi alikuwa anashtakiwa Kwa kumwua Aliyekuwa Mkuu Wa mkoa Wa Iringa Marehemu Wilbert Kreluu.