M mastersajenti Senior Member Joined Dec 4, 2015 Posts 165 Reaction score 24 Dec 17, 2015 #1 Ninaomba kuijua kesi ya kihistoria iliyotokea miaka ya sabini ilikuwa inamkabili mkulima Wa isimani Bw.Abdallah Mwamwindi alikuwa anashtakiwa Kwa kumwua Aliyekuwa Mkuu Wa mkoa Wa Iringa Marehemu Wilbert Kreluu.
Ninaomba kuijua kesi ya kihistoria iliyotokea miaka ya sabini ilikuwa inamkabili mkulima Wa isimani Bw.Abdallah Mwamwindi alikuwa anashtakiwa Kwa kumwua Aliyekuwa Mkuu Wa mkoa Wa Iringa Marehemu Wilbert Kreluu.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 18,960 Reaction score 67,654 Dec 17, 2015 #2 Nenda jukwaa la sheria imeshajadiliwa vya kutosha