Kesi ya mauwaji ya Yesu

Yesu aliteswa, akauawa akafufuka siku ya tatu, akapaa mbinguni, (na haya yote alijitabiria kabla ya kutokea) Yesu yu hai milele na milele!
 
Eèee marehemu ndio, siku ya postimotam sijui watafanyia nini maana alifufuka mwenyewe
....angegoma kufa basi kama ana uwezo wa kufufuka.
Jamaa anasema yeye anamtetea fundi seremala.
 
Swali kwa bwana Dola Indidis,
Je Israeli ikikubali kuwa ni kweli yalifanyika makosa, then what next!!?
 
Anaweza kuthibitisha yesu alikuwepo?

Maana vitabu vya wayahudi vinasema masia bado hajaja..

Quran inasema kulikuwa na issa na hakulubiwa?
 
Mifumo ya maisha na sheria zilizotumika kipindi hicho huko Israel zinafanana na sasa?........hako ka-donation nina wasiwasi nako, maana watu huwa ni wazuri sana kwenye kuchezea akili za wenzao kwa mwamvuli wa dini, watu milioni moja mkichangia dola moja moja kitu kinasoma dola milioni.
 
International court of justice haisikilizi mashauri baina ya watu binafsi bali nchi na chi
 
Kwanza yeye ni dini gani?

Au anatafuta pesa ya kuendesha maishayaketu, Yesu alikufa akafufuka na yupo hai.
Atakuja kuthibitisha mwenyewe mahakamani kama kweli yupo hai, povu hilo vipi?
 
Akishinda nani atalipwa fidia na gharama za uendeshaji? Anyway, isitoshe hbr hii ishapitwa na wakati cjui nani kaileta humu leo, ilikuwa discussion ya 2016 huko Kenya.
Hii habari imepitwa na wakati kwako. Na usipende kuwasemea watu.
 
Haya mambo unaweza kupata kichaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…