Kesi ya mbagala yafutwa

Kesi ya mbagala yafutwa

paesulta

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2009
Posts
227
Reaction score
29
Breaking News:Kesi ya Mbagala
ya kuvunja makanisa
yafutwa.Ilikuwa for PH na
prosecution wameshindwa
kukamilisha upelelezi ndani ya
siku 60 na hawaku-file certificate
ya kuomba further
adjournment.Washtakiwa wote
15 wako huru as per sect.225(5)
CPA.......60 days Rule people
 
MUNGU ATAWAHUKUMU, Wako huru kwa sheria ya dunia, lakini wapo kifungo cha milele kwa MUNGU.
 
Hawa jamaa waliitisha serikali kuwa wasipoachiwa kabla ya xmass, patakua hapatoshi xmass. Ni kujitoa mhanga kwenda mbele.

Serikali "Sikivu" imeona busara kuwaachia bila masharti yeyote.
 
Acheni ushabiki.Waendesha mashitaka wamefanya uzembe pamoja na kuwa hawa jamaa walikuwa na kesi kubwa ya kujibu. Ni swala la procedure tu na hawa jamaa siku si nyingi wataletwa tena mahakamani kwa makosa haya haya.Someni sheria kwanza na sio mambo ya takbir....
 
tatizo wengi wa wanajamii forumu hawajui procedure za ki-mahakama,ndio maana ya ushabiki na ubishi wa vyama tu
 
....LATEST NEW: 10 kati ya watuhumiwa 15 walishikwa tena na polisi na taratibu za kuwaandikia upya mashitaka zinafanyika.I'm amazed that Tanzania media up to this time haven't reported on this news....!
 
hakuna cha ajabu hapo.......

Wamefanya uzembe kwa makusudi......

Ingekuwa ajabu sana sheria kuchukua mkondo wake hapo
 
hakuna cha ajabu hapo.......

Wamefanya uzembe kwa makusudi......

Ingekuwa ajabu sana sheria kuchukua mkondo wake hapo

Kwa taarifa yako baadhi ya watuhumiwa wameshikwa tena na taratibu za kuwafungulia upya mashitaka unafanyika.
 
tatizo wengi wa wanajamii forumu hawajui procedure za ki-mahakama,ndio maana ya ushabiki na ubishi wa vyama tu

Ni kweli cz ili ujue taratibu za Mahakama ni lazima uwe mdau aidha mwanazuoni wa sheria au habitual offender unaejifunza kwa uzoefu wa uhalifu wako lakini ki ujumla hili suala liko handled kisiasa hawalichukulii serious ili ku please baadhi ya watu wenye imani flani ni upumbavu
 
....LATEST NEW: 10 kati ya watuhumiwa 15 walishikwa tena na polisi na taratibu za kuwaandikia upya mashitaka zinafanyika.I'm amazed that Tanzania media up to this time haven't reported on this news....!

Ukiona media zipo kimya hujie kesi hiyo haina maslahi kwa waliawatuma..
 
Back
Top Bottom